Jana kwenye taharifa ya habari,kupitia luninga ya STAR TV,Kulikuwa na taharifa kuhusu maofisa wa kampuni ya VIETTEL,kutoka Vietam,ambavyo walipata fulsa ya kumtembelea Mhe Rais IKULU dar,
Ni habari njema kwa wale walioomba nafasi mbalimbali katika kampuni hii,miezi kadhaa iliyopita,tuvute subira mambo yanaweza kuwa mazuri.