Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Viongozi wa chama Cha upinzani Taiwan walienda kumuona rais wa china na kufanya nae mazungumzo katikati ya mwenzi huu wa aprili 2026.
Kushuka Kwa ushawishi wa Marekani ndio anguko lenyewe.
Watu wasifikiri Marekani itaanguka ghafla na kua masikini na ombaomba,hapana,Bali itakua TU kama Dola nyingine zilovyoanguka na kubaki na maisha Yao ya kawaida lakini onabaki Haina nguvu ya kiutawala katika Dunia.
Dalili za anguko la Marekani ni pamoja na hili la Viongozi wa chama Cha upinzani nchini Taiwan kwenda china na kufanya mazungumzo na rais Xi juu ya namna sahihi ya kuanzisha uhusiano bila matymizi ya nguvu.
Watu wa Taiwan wameona jinsi nchi za Gulf zilivyokosa ulinzi wa Marekani na kubakia kupigwa na Iran huku Marekani ikitazama.
Tumeona Hispania,Italy,NATO na Sasa Taiwan zikienda njia tofauti na Marekani.
Sasa nao Qartari na wenzake watafuata njia za akina Hispania.
Mwisho wa siku Mzee mzima atakua mtu wa kawaida TU,yaani Baunsa wa Zamani aliezeeka.
Hata hivyo mtu mwenye akili zako timamu unawezaje kukataa muungano na China ya Sasa?
China ya Sasa Ina Kila kitu kizuri kama vilivyoko
Magharibi,utajiri,miundombinu mizuri na teknolojia.
China hii sio china Ile.
CTI
Cheng Li-wun has framed her visit to China as one for peace
China's President Xi Jinping received Taiwan's main opposition party leader on Friday, in a rare meeting which saw both sides stress a desire for cross-strait peace.
Cheng Li-wun is the Kuomintang's (KMT) first sitting leader to visit China in a decade.
In 2016, Beijing cut off high-level communications with Taiwan after the ruling Democratic Progressive Party's (DPP) Tsai Ing-wen became president, citing her refusal to endorse the concept of a single Chinese nation. The DPP is among those who have criticised Cheng's trip, accusing her of being "subservient" to Beijing.
Beijing claims Taiwan as part of its territory and has not ruled out taking the self-governed island by force.
"The leaders of our two parties are meeting today in order to safeguard the peace and stability of our shared homeland, to promote the peaceful development of cross-strait relations, and to allow future generations to share in a bright and beautiful future," said Xi in a meeting at China's Great Hall of the People on Friday

Taiwan opposition leader meets Xi Jinping in Beijing
10 April 2026