shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 215
Naona watu wakibishana mala ooh diamond anafikisha views nyingi sababu kashirikisha msanii mwingine swali je huyu kiba si alifanya nyimbo na patoranking kwanini asifikishe views nyingi kama mond a.k.a simba lakin kila kukicha ni kelele wahenga wanasema hujui kusoma ata picha huoni tuache mambo ya team yatatuharibia mziki wetu kizuri lazima kisifiwe bhana