Views za ali kiba na pantoranking

Views za ali kiba na pantoranking

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
Naona watu wakibishana mala ooh diamond anafikisha views nyingi sababu kashirikisha msanii mwingine swali je huyu kiba si alifanya nyimbo na patoranking kwanini asifikishe views nyingi kama mond a.k.a simba lakin kila kukicha ni kelele wahenga wanasema hujui kusoma ata picha huoni tuache mambo ya team yatatuharibia mziki wetu kizuri lazima kisifiwe bhana
 
Views za chumbani hazidumu.Group views[emoji23][emoji23]
 
hiyo ngoma mbovu kweli kweli. juzi nimeidownload nimesikiliza Mara moja nikafuta.
 
Ile ngoma sio official release ni project ya coke studio
Acheni kupanik na mapovu yasiyo na mashiko na pale haijaisha kabisa ndo maana unaona kuna kasoro kadhaa
 
jamaa wanahofu na kiba had aibu...wanataka kujifanya hawajui kama katika ni project ya coke studio puuumbav apart from being coke's project bado ngoma n hatar cheki ile show wapo na pato na mastercraft uuuuuwi
 
Yeah man
 
Back
Top Bottom