dudumizi09
Member
- Jul 11, 2015
- 76
- 120
Asante mkuuMisumari
Cement
Conduits
Bati kwa bando
Square boxes, metal and plastic
Misumeno
Gypsum screw
Gypsum board
Nondo size zote
Etc
Nunua kidogo kidogoAsante mkuu
ila nikiweka cement, bati za bando na Gypsam board
Kwa 5m ntatoboa kweli
Kwa mtaji huo ukianzisha hiyo ''biashara'' halafu ikifeli unaweza kukimbilia kwa mganga kuwa umelogwa? Mambo mengine ni kujitakia stress tu.Habari wakuu
Samahani sana Mimi nina mtaji mdogo wa 5m
Ila nahitaji ni fungue hardware itakayo kuwa na vifaa vidogo vidogo vitakavyo endana na bajeti yangu
Naomba kama kuna mtu yoyote mwenye list ya vifaa vya hardware anitumie ili inisaidie kufanya tathimini
Lengo ni kuanza na bajeti ya 5m, kama kuna mtu aliwahi kuanza na mtaji mdogo kama huu naomba anisaidie mawazo
Asanteni.
Dawa ya mswaki? Mkuu, nafikiri hujamwelewa mleta mada. Rudia kuusoma uzi wake.Bila kusahau dawa ya mswaki na fagio la cheleu
Mkuu, hata akiwa na mtaji mkubwa hakumhakikishii kufanikiwa, na kuwa na mtaji mdogo si sababu ya kushindwa.Kwa mtaji huo ukianzisha hiyo ''biashara'' halafu ikifeli unaweza kukimbilia kwa mganga kuwa umelogwa? Mambo mengine ni kujitakia stress tu.
Nakaubaliana na wewe kwa silimia zote mkuu. Ila mil 5 kwa hardware sijui... utauza kitu gani ili upate faida ya kulipia frem (kama siyo yako), leseni na mfanyakazi? Pengine wazo zuri angeulizia kwanza kama anaweza kuchukuwa mali kauli, au afanye kitu kingine mtaji uongezeka kwanza. Mimi nadhani kwenye biashara ndogo ndogo, anaweza kupata faida zaidi kuliko harware, halafu baadae ndiyo aingie huko...Mkuu, hata akiwa na mtaji hakumhakikishii kufanikiwa, na kuwa na mtaji mdogo si sababu ya kushindwa.
Inawezekana ana mawazo yatakayomsaidia kuikuza hiyo 5m hadi iwe mamilioni mengi ya fedha.
Mtie tu moyo. Bila shaka anajua anachokifanya.
Asante mkuu kwa ushauri wakoNakaubaliana na wewe kwa silimia zote mkuu. Ila mil 5 kwa hardware sijui... utauza kitu gani ili upate faida ya kulipia frem (kama siyo yako), leseni na mfanyakazi? Pengine wazo zuri angeulizia kwanza kama anaweza kuchukuwa mali kauli, au afanye kitu kingine mtaji uongezeka kwanza. Mimi nadhani kwenye biashara ndogo ndogo, anaweza kupata faida zaidi kuliko harware, halafu baadae ndiyo aingie huko...
Hapana, ila kuna jamaa yangu alikuwa anaifanya na alikuwa na mtaji mkubwa zaidi, kwenye milioni 20 hivi lkn bado alikuwa anasema hautoshi.Asante mkuu kwa ushauri wako
Je wewe una experience ya hii biashara
Mkuu umeliona hilo? "Mali kauli!" Mpaka hapo umeshamwongezea wazo jingine. Ni juu yake sasa kuangalia jinsi ya kupata mzigo kwa mali kauli.Nakaubaliana na wewe kwa silimia zote mkuu. Ila mil 5 kwa hardware sijui... utauza kitu gani ili upate faida ya kulipia frem (kama siyo yako), leseni na mfanyakazi? Pengine wazo zuri angeulizia kwanza kama anaweza kuchukuwa mali kauli, au afanye kitu kingine mtaji uongezeka kwanza. Mimi nadhani kwenye biashara ndogo ndogo, anaweza kupata faida zaidi kuliko harware, halafu baadae ndiyo aingie huko...
Kwenye mbao ni uongoMkuu anaza na Cement ,mbao, Bati na Misumari
Kwan mbao bei gan mkuu....?Kwenye
Kwenye mbao ni uongo
Asante sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoUshauri hakuna mtaji mdogo wala mkubwa 5milion inatosha, angalia location nzuri uuze Cement, misumari, na nondo plus square boxes.......kuna aina nyingi ya hii business.
Mwingine anauza rangi tu, mwingine anauza tails tu....
Mwingine bawaba na vitasa vya milango.
Kila mtu na style yake.
Mwingine anauza buti, safety boots, gloves, nguo za site, reflector, nyundo, mikasi, helement, wheelbarrow, rakes, jembe, chepe,n.k. na zote ni pesa tupu......kwa mimi naona ni wewe uamue tu.
Au uza vifaa vya umeme kazi ni kwako kuchagua.
Hapana sio kweli usimkatishe tamaa iyo pesa ni nyingi sana inategemea yupo mkoa gani upatikanaji wa bidhaa upoje pia anaweza akaanza na cement,misumari pmj na nondo2 naakapiga kaziKwa mtaji huo ukianzisha hiyo ''biashara'' halafu ikifeli unaweza kukimbilia kwa mganga kuwa umelogwa? Mambo mengine ni kujitakia stress tu.