VIFAA TIBA VYA MHIMU ILI KUANZISHA ZAHANATI TANZANIA

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
496
Reaction score
515
Wakuu Salaam!
Mimi sio Daktari, but Nahitaji kujua vifaa tiba vya muhimu sana kwa kuanzisha Maabara ya Dispensari hasa maeneo ya Vijijini.Kuna kijiji kimoja nimeona wanateseka sana kwa huduma za afya za msingi, hivyo nahitaji kujua vifaa tiba vya muhimu ikiwezekana na bei zake ili niweze kujichanga na hata kuomba wadhamini ili kuweza kuwasaidia wananchi hawa.

Natanguliza Shukrani za dhati Wakuu
 
Kama itakuwa attached na dispensary basi iwe na vyumba v2 .
VIFAA
Darubin -original 1.2m Mchina lak7.5
Glucometer-45elfu
Hb muchine- 3lak
Vingne ni vdgo vdgo na costs yake ni ndgo mtu wa lab atakuelekeza. Kwenye usajili lazm uwe na chet na lesen ya expart wa lab (certificate level)
 
Asante sana mkuu, ni hivyo tu basi?
 
lazima uwe na spana size zote, skruu draiva seti moja, maltimita, said kata na plaiz
 
lazima uwe na spana size zote, skruu draiva seti moja, maltimita, said kata na plaiz
Mhh hivyo si vya mafundi mkuu, plz nipo serious kama unafaham vifaa tiba ambavyo ni vya msingi sana kuwepo kwenye zahanati nisaidie tuwasaidie wananchi
 
Mm nauza vifaa vya maabara, kemikali na "reagents"km utahitaji price list nichek kwa namb 0717 550291 au 0745 396264
 
Mm nauza vifaa vya maabara, kemikali na "reagents"km utahitaji price list nichek kwa namb 0717 550291 au 0745 396264
Asante mkuu, but nahitaji orodha kwanza inayotoshereza zahanate ndipo niweze kufikiria kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…