TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 496
- 515
Wakuu Salaam!
Mimi sio Daktari, but Nahitaji kujua vifaa tiba vya muhimu sana kwa kuanzisha Maabara ya Dispensari hasa maeneo ya Vijijini.Kuna kijiji kimoja nimeona wanateseka sana kwa huduma za afya za msingi, hivyo nahitaji kujua vifaa tiba vya muhimu ikiwezekana na bei zake ili niweze kujichanga na hata kuomba wadhamini ili kuweza kuwasaidia wananchi hawa.
Natanguliza Shukrani za dhati Wakuu