Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ni Kama Maisha ya Watu yanawekwa hatirini !.
Chuma ya Wachina ni Dhaifu sana, na imeminywa Vipimo , Kwa Mchina yeye kuzalisha Tani nyingi Kwa Gharama ndogo ili kupata Faida Kubwa ni Bora kuliko kujali Ubora na Usalama wa watu.
Hata hivo, Nchini china hali ni tofauti, Kwao Ujenzi na materials za Chuma zinazingatia USALAMA !!.
Chuma inayozalishwa Uchina kuuuzaa Afrika, ni Chuma Dhaifuu sana !!.
Wajenzi ,Wakandarasi wetu haya wanayajua, lakini nani Ajali??.
Ni CCM hao hao waliowapa Wachina Uhuru wa Biashara, Kwa Upande wa pili, Wachina wanawapa CCM, Pikipiki, Baiskeli, Magari ya Polisi washawasha
NANI ATAJALI USALAMA WA RAIA ?.
Miaka ijayo tukashuhudia Maghorofa na Majengo mbalimbali Yakianguka, SI Kwa sababu ya uzembe wa wajenzi, la hashaaa, CHUMA CHUMA CHUMA YA MCHINA.!!.
TBS nao ndio hivo wamelala !!.