mkuu kwema?
natafuta CPU ya Dell, inaweza kuwa bei gani? hapa ni bila desktop, je
ikiwa pamoja na computer yake full inaweza kuwa kiasi gani?
Nataka bei za ram, duh pc 100 tena shekhe sina uwezo wa kuipa shule msaada[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unataka zote mm nnazo pc 100
Ahsante, ngoja nikutafutie hiyo 75000RAM
1gb - 20,000/=
2gb - 38,000/=
4gb - 75,000/=
haya mkuu samahni kwa kuingilia biashara yakoMkuu hii siyo sticky thread, kama una kitu unauza unaweza anzisha uzi wako tu ukauza huko.
Mkuu nitapata housing ya Pc HP 530
natafuta displa (innolux n116bge-e42) na touch yakeTunauza vifaa vya computer.
Harddisks- SATA
500gb - 78,000/=
1Tb - 140,000/=
RAM
1gb - 20,000/=
2gb - 38,000/=
4gb - 75,000/=
Laptop Screens/Display
14.1' - 110,000/=
15.6' - 130,000/=
Laptop Keyboards
40,000/= Used
70,000/= New
Tunatengeneza Laptops na Desktops. Tunafanya software installations na kuuza Computer used kwa gharama nafuu. Ubora ni wa uhakika.
Pia tunatoa huduma za Website design na blog design.
www.swahiliware.com
info@swahiliware.com
0684141476
0714632032
Dar es Salaaam
natafuta displa (innolux n116bge-e42) na touch yake