Kafiti
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 537
- 220
- Thread starter
- #21
mkuu kwema?
natafuta CPU ya Dell, inaweza kuwa bei gani? hapa ni bila desktop, je
ikiwa pamoja na computer yake full inaweza kuwa kiasi gani?
Habari, CPU ya dell zipo core 2 duo kwa bei ya 130,000/= na kuendelea
Complete tunauza 240,000/= na kuendelea.