Vifaa vya Ford Ranger na Puma

brightoscar

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
369
Reaction score
543
Habari wadau nimeleta mzigo wa vifaa vya Ford Ranger na Puma Landrover.

Baada ya kuona Ford Ranger zinavyosumbua hasa mfumo wa Mafuta niliona ni business opportunity na kuagiza mzigo Uturuki.

Nina nozzles mpya kabisa, injector pump mpya kabisa pia Turbo ya 2.2 na 3.2 zote ni mpya kwa anayehitaji ni pm bei ni za chini sana huwezi kupata popote Tanzania kwa bei nazotoa karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…