INAUZWA Vifaa vya jiko la baa vinauzwa

Nataka mtungi na pipe bei gani
Mtung na pipe yake,na kile ki regulator let me add up,mtungi 50,regulator elf 10,na pipe elf5,so lete 65 mjomba,..nakupa uwanja wa kujitetea hapo
 
Weka bei sasa
Hilo jiko la wazi linaenda 90,.hilo la kufunika linaenda 190,gas mtungi na plate zake ambao ni mpya kabsa 170,kabat la chips 110 mjomba. 0628489905,..nchek humo kwa maongezi mubashara
 
Hilo jiko la wazi linaenda 90,.hilo la kufunika linaenda 190,gas mtungi na plate zake ambao ni mpya kabsa 170,kabat la chips 110 mjomba. 0628489905,..nchek humo kwa maongezi mubashara
Jiko LA kufunika 150000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…