INAUZWA Vifaa vya jiko la baa vinauzwa

Hivyo vitu vipo marekani?? Maana wa bongo hamjui kunadi biashara zenu

Anway hilo jiko la nyama(oven ya kienyeji) bei gani
 
Hivyo vitu vipo marekani?? Maana wa bongo hamjui kunadi biashara zenu

Anway hilo jiko la nyama(oven ya kienyeji) bei gani
190 mjomba ,jipya 300,..lina mwez tuu,..vipo goba dsm
 
Dagaa siyo chakula rahisi. Hivi bei ya dagaa kilo ni shs ngapi kwa sasa??!

Mkuu itakua haya mambo ya kula dagaa na nyanya chungu plus bamia yamekupita pembeni

Dagaa huku uswahilini zinapimwa kwa mafungu ya mia tatu hadi mia tano
 
Tumerudi kwenye vyakula asili, tumshukuru JPM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…