Vifaa vya kufyatua matofali-wapi vinauzwa na bei zake

Vifaa vya kufyatua matofali-wapi vinauzwa na bei zake

Kimeo

Member
Joined
May 19, 2009
Posts
77
Reaction score
13
Wakubwa ,nataka nianzishe ka mradi ka matofali.naombeni mnijuze vifaa vifuatavyo vinapatikana wapi pamoja na bei elekezi.
1.mashine ya kufyatulia tofali(two in one) ya umeme
2.mashine ya kuchanganyia udongo(ya umeme or motor)
naombeni mnifahamishe ili niweze kutengeneza makadirio pamoja na kununua.
 
Ongea na simu hii 0713-656496. Mwenye simu anaitwa Moshi. Wako Mwenge Dar. Watakusaidia sana. Mashine zote wanazo mpaka Mixer.
 
Ongea na simu hii 0713-656496. Mwenye simu anaitwa Moshi. Wako Mwenge Dar. Watakusaidia sana. Mashine zote wanazo mpaka Mixer.
ukishaonea naye weka gharama zake hallisi bila 10 % hapa jamvini ili na cc tuishauri sakosi yetu iplan huu mradi
 
wazo zuri,
saccos kuwekeza ktk Real Estate.Je mtatoa discounts kwa members wa saccos yenu
 
Back
Top Bottom