Vifaa vya salon- vinauzwa nina shida nahama-million 5 tu- tupo tabata

Vifaa vya salon- vinauzwa nina shida nahama-million 5 tu- tupo tabata

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
VIFAA VYA SALON COMPLETE SET INAUZWA,
NINA HAMA....BEI CHEE
dryer-ya kawaida 2
steamer 1
kiti cha kuoshea 1
pallet ya rollers 2
Pasi 1
Dryer ya mkono 1
kochi la seat mbili 1
BEI: MILLION 5 TU. HAIPUNGUI
simu: 0715 680 773
 
Nakupa 2M cash kama upo tayari ni PM nikupe hiyo hela ila kwa tano ni nyingi sanaaaaa
 
VIFAA VYA SALON COMPLETE SET INAUZWA,
NINA HAMA....BEI CHEE
dryer-ya kawaida 2
steamer 1
kiti cha kuoshea 1
pallet ya rollers 2
Pasi 1
Dryer ya mkono 1
kochi la seat mbili 1
BEI: MILLION 5 TU. HAIPUNGUI
simu: 0715 680 773

Nicheck kama utakubali kwa 2M
 
VIFAA VYA SALON COMPLETE SET INAUZWA,
NINA HAMA....BEI CHEE
dryer-ya kawaida 2
steamer 1
kiti cha kuoshea 1
pallet ya rollers 2
Pasi 1
Dryer ya mkono 1
kochi la seat mbili 1
BEI: MILLION 5 TU. HAIPUNGUI
simu: 0715 680 773

ukiondoa kiti cha kuoshea hivyo vifaa vingine vikiwa vipya thamani yake jumla haizidi milioni 2. Muuzaji haupo serious. Dryer za mchina dukan 200,000, steamer 180,000, sofa 150,000, ya mkono 80,000. Pasi 50,000. Pallet ya rollers 60,000. We unauza milioni 5. Kila la kheri
 
Asanteni kwa kujibu. Ndugu Lutambi mimi si za mchina, lakini kama nilivyosema ni complete set/kasoro vioo tu ndio nabaki navyo....kuna stendi, nk na Kochi la kuonyesha tu kwa mfano uliza kokote haipungui 500,000 na pallet zipo tofauti, hii ya kwangu ni 160,000, na Dryer pia ni zile za kufunga juu sio za chini, za juu ni bei maana ni movable na zinatoa flexibility ya nafaa na kumfuata mteja alipokaa

. ...Bwana Papizo kama una nia, hebu piga simu 0715 680 773 tunaweza zungumza tuone namna ya kusaidiana.....tupo tabata kimanga
 
Back
Top Bottom