Asanteni kwa kujibu. Ndugu Lutambi mimi si za mchina, lakini kama nilivyosema ni complete set/kasoro vioo tu ndio nabaki navyo....kuna stendi, nk na Kochi la kuonyesha tu kwa mfano uliza kokote haipungui 500,000 na pallet zipo tofauti, hii ya kwangu ni 160,000, na Dryer pia ni zile za kufunga juu sio za chini, za juu ni bei maana ni movable na zinatoa flexibility ya nafaa na kumfuata mteja alipokaa
. ...Bwana Papizo kama una nia, hebu piga simu 0715 680 773 tunaweza zungumza tuone namna ya kusaidiana.....tupo tabata kimanga