Vifaa vya sonara

Vifaa vya sonara

Consolata2000

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Mambozz

Kuna kifaa cha masonara hukitimia kuyeyushia dhahabu na madini mengine. Kifaa kama hicho inauzwa wapi na kwa bei gani? Kwa wenye uelewa wa usonara mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom