C Consolata2000 Member Joined Apr 13, 2013 Posts 40 Reaction score 4 Aug 20, 2013 #1 Mambozz Kuna kifaa cha masonara hukitimia kuyeyushia dhahabu na madini mengine. Kifaa kama hicho inauzwa wapi na kwa bei gani? Kwa wenye uelewa wa usonara mnakaribishwa
Mambozz Kuna kifaa cha masonara hukitimia kuyeyushia dhahabu na madini mengine. Kifaa kama hicho inauzwa wapi na kwa bei gani? Kwa wenye uelewa wa usonara mnakaribishwa