zulfa rwanda
Member
- Feb 23, 2016
- 6
- 4
Hao maguru wanapatikanaje? Hii biashara inalipa sana iwapo utanunua bidhaa zake kwa bei nafuu, haladu unaenda kuuza kwa bei ya sokoni.nenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
Sawa asante hao watu nawapataje tafadhali kwasabbu sasa hv nataka kuifany iwe ya jumla na reja reja ni bora nipate wa ndani zaidinenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
Na copy sasa hv tunatoa sh 100 coz karatas zipo juunenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
kama upo dar, nenda mchikichini, utakutana na maguru wa hii biashara, nenda kwa upole kawaulize, watakupa raman. wapo watakaokubania, lakin wengine watakuelekezaSawa asante hao watu nawapataje tafadhali kwasabbu sasa hv nataka kuifany iwe ya jumla na reja reja ni bora nipate wa ndani zaidi
Aandae na chai sasa akienda kichwa kichwa hasaidiki.kama upo dar, nenda mchikichini, utakutana na maguru wa hii biashara, nenda kwa upole kawaulize, watakupa raman. wapo watakaokubania, lakin wengine watakuelekeza
Kwaiy nikifika tu mchkichini ndo nawakuta??kama upo dar, nenda mchikichini, utakutana na maguru wa hii biashara, nenda kwa upole kawaulize, watakupa raman. wapo watakaokubania, lakin wengine watakuelekeza
Ufanikiwa kuwapata?Kwaiy nikifika tu mchkichini ndo nawakuta??