Vifaa vya stationery

Vifaa vya stationery

zulfa rwanda

Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
6
Reaction score
4
Habari,

Mimi ni Mfanya biashara ya stationary kutoka morogoro naomba kufahamishwa chaka/chimbo la kupata bidhaa kwa bei za viwandani kwa Dar.
 
Nenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
 
nenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
Hao maguru wanapatikanaje? Hii biashara inalipa sana iwapo utanunua bidhaa zake kwa bei nafuu, haladu unaenda kuuza kwa bei ya sokoni.
 
nenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
Sawa asante hao watu nawapataje tafadhali kwasabbu sasa hv nataka kuifany iwe ya jumla na reja reja ni bora nipate wa ndani zaidi
 
nenda kwa msomar kariakaoo mtaa wa gerezan, utapata bei y jumla kila kitu. ukiwa mkongwe, utapata machimbo ya jikon kabisa, lakin huko mpaka ushikwe mkono na maguru wa hii biashara, ushajiuli9 kwa nin copy sh.50?
Na copy sasa hv tunatoa sh 100 coz karatas zipo juu
 
kama upo dar, nenda mchikichini, utakutana na maguru wa hii biashara, nenda kwa upole kawaulize, watakupa raman. wapo watakaokubania, lakin wengine watakuelekeza
Aandae na chai sasa akienda kichwa kichwa hasaidiki.
 
Anaejua machimbo ya Bei powa kariakoo ya daftari(msomi) na counter book qr 2 tuwasliane. Aweke Bei tuwasliane
 
Back
Top Bottom