Kuna factor nyingi katika uzalishaji......wewe umeangalia bei elekezi tu.
Look here: kuna gharama za uzalishaji....serikali ipunguze gharama za nishati
pia kuna kodi serikali inachukua, Kama mfuko mmoja wa cementi ni 4000 Kabla ya kodi, weka kodi labda 6000....
Sasa serikali ipunguze kodi hapo, serikali ichukue kodi kama 3000 hivi
Serikali inakusanya kodi kwenye miamala ya simu, kwenye mafuta
Hakuna Maisha bora kwa Wanyonge.....Hasa Ngome za CCM Morongoro, Dodoma, Tanga vijijini
Huko ndo kuna nyumba za udongo