Vifaa vya ujenzi

Msolwa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
480
Reaction score
174
Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika.

Samahani kwa usumbufu
 
 
mikanda elfu tano pvc laki 120 peace kumi misumari shutex ya inchi moja na nusu
 
 
 
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa msaada wenu nimefanikiwa kununua na sasa kazi inaendelea vyema. Kweli JF ni kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…