Vifaa vya ujenzi

Vifaa vya ujenzi

Msolwa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
480
Reaction score
174
Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika.

Samahani kwa usumbufu
 
Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika.

Samahani kwa usumbufu[/QUOTE

Mkuu....unazungumzia PvC board zinazowekwa nje baada yakupaua? Km nihizo....zipo za Elf 15 na elf 13 na elf 9500/- Urefu 20ft....Zile angle zake ni elf 3 Kila la heri ndg
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako. Umesema kuna za elf 15, 13 na 9500 tofauti ni nini mkuu?

Bei niliyoambiwa kwenye simu na fundi wangu ni ya ajabu mno.
 
Mkuu mafundi ujenzi ni balaa kwa kuchakachua gharama, akikuambia gharama jua ameshaweka na yake hapo, na wengine ni wajanja hupanga dili na wenye maduka pia, stuka.
 
Pole kiongoz km ndio nyumba yako yakwanza kujenga..ucpokuwa mtafiti wa Bei nyumba na 20ml..unaweza kuijenga kwa 50ml...Mimi nadili na Mafundi waaina tofauti najua michezo yao yote wenyewe wanaitakupanga Matokeo....Umeniuliza tofauti ya hizo Bei kinachotofautisha ni Size....nauImara.. kunazingune Nyepesi sana...
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa msaada wenu nimefanikiwa kununua na sasa kazi inaendelea vyema. Kweli JF ni kila kitu.
 
Back
Top Bottom