Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

Hiyo sina bos, na bei zake kidogo zimechangamka, ila kama ukija naweza kukupa muongozo wa kupata, au nipe muda nikupe jibu
 
30ed7ed70f5560f6c841d6dcd9790a73.jpg

Vitu kama hivi pia vipo Pad ya PS3 mpya kabisa full box
40000. KARIBU DUKANI
 
Hapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
0182bf9cb68441e42b9c5284fcb96b31.jpg

Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel
IPhone.
901c7951bc9e1845b621c99d342e9997.jpg

Chargers tofaut tofaut

UNATAFUTA NINI? ULIZA HAPA 0625547181 NA PICHA NITATUMA PIA UONE VIZURI.
KARIBU DUKANI
Mkuu duka lipo hong kong,guanzhue au
 
Ndugu mm niko mkoan inatakiwa nijue bei kabla yakufika ofisin
Kila siku tunatuma mizigo mikoani, yani ukishafika dukani siku ya kwanza huna haja ya kuja tena, utatuma sampo kwa wasap na utafungjwa mzigo wako vizuri na kazi yako ni kupokea tu.
 
dc47bb191737626547f30c1eac07eda9.jpg
076a232b0257015e4f610abc8e27d5a8.jpg

Hizi ni taa maalumu na nzuri sana pale umeme unapokatika nyumbani, unaweza kutumia kwa power bank
Simu kwa kutumia OTG cable
Ondokana na mishumaa sasa.
Bei ya 1 ni 2500 kwa jumpa bei itapungua ukija dukani
 
Charger ya smartphone inayojaza simu kwa muda mfupi! Inauzwaje?
 
Zile mashine za dawa ya mbu za kuchoma unazo zile zinazo tumia umeme
 
Back
Top Bottom