Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

Hiyo sina bos, na bei zake kidogo zimechangamka, ila kama ukija naweza kukupa muongozo wa kupata, au nipe muda nikupe jibu
 

Vitu kama hivi pia vipo Pad ya PS3 mpya kabisa full box
40000. KARIBU DUKANI
 
Mkuu duka lipo hong kong,guanzhue au
 
Ndugu mm niko mkoan inatakiwa nijue bei kabla yakufika ofisin
Kila siku tunatuma mizigo mikoani, yani ukishafika dukani siku ya kwanza huna haja ya kuja tena, utatuma sampo kwa wasap na utafungjwa mzigo wako vizuri na kazi yako ni kupokea tu.
 
Display n touch ya Xperia z1 compact bei gani.
 

Hizi ni taa maalumu na nzuri sana pale umeme unapokatika nyumbani, unaweza kutumia kwa power bank
Simu kwa kutumia OTG cable
Ondokana na mishumaa sasa.
Bei ya 1 ni 2500 kwa jumpa bei itapungua ukija dukani
 
Charger ya smartphone inayojaza simu kwa muda mfupi! Inauzwaje?
 
Zile mashine za dawa ya mbu za kuchoma unazo zile zinazo tumia umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…