Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

kiongozi una kioo na display ya samsung s8 na bei yake unauzaje??
 
Memory Card 32 GB bado zinapatikana? Kwa shilli gi ngapi?
 
DUH mkuu naulizia betr ya simu aina ya black berry-tre meno sita upande wa ubavu
 
Betri za tecno ndogo hizi za text na kupiga simu, na headphone ni tshs.ngapi?
 
Betri za tecno ndogo hizi za text na kupiga simu, na headphone ni tshs.ngapi?
Betri kuna za 3000 copy toleo la pili kuna za 4000 copy tolea la kwanza na kuna za 6000 original hizo ni bei za jumla... Headphone unataka zipi zenye redio na memory card zenye kuchajiwa au za kawaida... Earphone zina anzia 1500 na kuendelea mbele kwa maelezo zaidi waweza nicheki kwa namba hii 0754660061 sample za earphone ni hiziView attachment 747968View attachment 747967
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…