Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 14, 2010 #1 Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 May 14, 2010 #2 Hadi uteuzi wa wapigiwa kura utimie mkubwa ndo waweze kuzitoa!
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 14, 2010 Thread starter #3 Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai?
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 May 14, 2010 #4 Mwanamayu said: Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai? Click to expand... Nilimaanisha uteuzi wa wagombea mkubwa!
Mwanamayu said: Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai? Click to expand... Nilimaanisha uteuzi wa wagombea mkubwa!
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 18, 2010 Thread starter #5 Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie!
M MJM JF-Expert Member Joined Mar 30, 2010 Posts 461 Reaction score 51 May 18, 2010 #6 Mwanamayu said: Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie! Click to expand... Inamaana haujawahi kupiga kura? Unapopiga kura lazima kuwe na wagombea kwenye karatasi not otherwise.
Mwanamayu said: Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie! Click to expand... Inamaana haujawahi kupiga kura? Unapopiga kura lazima kuwe na wagombea kwenye karatasi not otherwise.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 May 18, 2010 #7 hehehehe hoja butu hii. utachapishaje karatasi za kura ilhali hakuna aliyependekezwa ama kuomba kuchaguliwa?
hehehehe hoja butu hii. utachapishaje karatasi za kura ilhali hakuna aliyependekezwa ama kuomba kuchaguliwa?
Injinia JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 849 Reaction score 28 May 18, 2010 #8 Nadhani Mwanamayu alikuwa anajisikia tu kulalamika kuhusu kitu. 😀
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 May 18, 2010 #9 Hoja hapa sijaipata vizuri ila kuna kamchezo hapo!
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 May 18, 2010 #10 Mimi navyofikiri mambo mengi yanatakiwa yawe tayari on desk. Kuwe na kumalizia yale yanayohitaji kwa mfano mpaka wagombea wawe wameidhinishwa!
Mimi navyofikiri mambo mengi yanatakiwa yawe tayari on desk. Kuwe na kumalizia yale yanayohitaji kwa mfano mpaka wagombea wawe wameidhinishwa!