Elections 2010 Vifaa vyote vya uchaguzi mkuu tayari kasoro kimoja

Elections 2010 Vifaa vyote vya uchaguzi mkuu tayari kasoro kimoja

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
 
Hadi uteuzi wa wapigiwa kura utimie mkubwa ndo waweze kuzitoa!
 
Yawezekana upigaji kura kuanza baada tu ya uteuzi wa wagombea hasa Julai?
 
Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie!
 
Ina maana nyingine zitatolewa na majina kabisa? Kama wewe huko NEC tusaidie!

Inamaana haujawahi kupiga kura? Unapopiga kura lazima kuwe na wagombea kwenye karatasi not otherwise.
 
hehehehe hoja butu hii.
utachapishaje karatasi za kura ilhali hakuna aliyependekezwa ama kuomba kuchaguliwa?
 
Nadhani Mwanamayu alikuwa anajisikia tu kulalamika kuhusu kitu. 😀
 
Mimi navyofikiri mambo mengi yanatakiwa yawe tayari on desk. Kuwe na kumalizia yale yanayohitaji kwa mfano mpaka wagombea wawe wameidhinishwa!
 
Back
Top Bottom