Vifahamu vijiji vya Tanga-Horohoro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??
 
KIBAMIA itakua hujakitaja umekisahau,ukitoka chumvini ndo kinafuatia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaaaaa kiongozi nna deni nawe au nifanye michakato mwenyewe?

Nalikumbuka sana Mkuu!
Btw sio mbaya tukicheza "Kolektiv responsibilite" au "kaunta ataki" pia huleta matokeo bora.
 
Nalikumbuka sana Mkuu!
Btw sio mbaya tukicheza "Kolektiv responsibilite" au "kaunta ataki" pia huleta matokeo bora.
Hapana Mkuu twaweza kutana kwenye kuona kikanuka....nakuaminia wee endelea tu niko kwa M7 Kidogo
 
We umechanganya majina ya vijiji na majina ya maeneo
Mfano Chumbageni hii ni Tanga mjini na Chumvini ni kisosora ile kwa kule bondeni kwenye mikoko wanakopika Chumvi ndio kunaitwa hivyo ila hapo unakuwa bado hujaaanza kuvifikia vijiji vya Tanga
Nikirudi kwenye swali mi napenda Horohoro
 
Hapana Jimena haya majina yako kwenye vibao rasmi on the way to Horohoro, kila ukiingia kijiji kipya unakutana na jina lake
Hayo uliyoyataja yapo pia mitaa/barabara za tanga mjini ambazo ziko 21
 
Hapana Jimena haya majina yako kwenye vibao rasmi on the way to Horohoro, kila ukiingia kijiji kipya unakutana na jina lake
Hayo uliyoyataja yapo pia mitaa/barabara za tanga mjini ambazo ziko 21
Najua kuwa hayo majina ya ni ya maeneo yameandikwa kwenye hiyo njia ya mombasa ila wewe uliwahi kuanza kuhesabu, atleast ungeanzia kuhesabu kuwa ni vijiji baada ya kuvuka Amboni
Mi ni mwenyeji sana njia hiyo hata Kabla haijawekwa lami kote
 
Haya...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…