Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Mmmmh!! Chumvini tena? acheni matani jamani..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Togora mwenehu, uwe undakara wakaya uweMtimbwani umesahau
Yaaah asijekuwa anakaa mikanjuni au makorora aka walinaziBarabara ya ngapi kaka
Karibu Tanga mshana
Aisee nipo NguvumaliTogora mwenehu, uwe undakara wakaya uwe
Sie w DongeYaaah asijekuwa anakaa mikanjuni au makorora aka walinazi
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??
Umeruka mtimbwani kibiboni mabokweni pita na zako mikweni mikocheni hivyo ni baadhiNiko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??
Unatabu mwana uweTogora mwenehu, uwe undakara wakaya uwe
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mimi siku zote huwa sipendelei videmu 'Vijinga' ila 'Nabwaga Macho' tu kwa kina Mama warembo na kama nikibahatika kuwapata, hata iweje siingii wala kuzama 'Chumvini' kwa sababu sipendi hilo tendo na wala 'SitakiShari'.