Vifahamu vijiji vya Tanga-Horohoro

Vifahamu vijiji vya Tanga-Horohoro

Mmmmh!! Chumvini tena? acheni matani jamani..!!
1469959528521.jpg
 
Ongeza na hivi
Kambini
Duga sagaya
Duga maforoni
Kwacherechu
Mbuta
Perani
Mwakijembe
Nk
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??
 
Umeruka mtimbwani kibiboni mabokweni pita na zako mikweni mikocheni hivyo ni baadhi
 
Niko safarini Kampala niliamua kupitia Mombasa, kuna vijiji hapo katikati vina majina yanayofurahisha na kufikirisha mno ..
Baadhi yake ni
Chumbageni
Chumvini
Sitakishari
Vijinga
Sitaki dawa
Kastamu
Bwagamacho
Zingibari
Geza nk
Hebu niambie umependa kipi hapo??

Mimi siku zote huwa sipendelei videmu 'Vijinga' ila 'Nabwaga Macho' tu kwa kina Mama warembo na kama nikibahatika kuwapata, hata iweje siingii wala kuzama 'Chumvini' kwa sababu sipendi hilo tendo na wala 'SitakiShari'.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom