ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Sawa ndugu vipi bado beach kwa bibi pako vilevile au kumebadilika siku hiziDuuuh, haya ndugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Vilevile tu aisee, Mimi niko MTWARA kwa sasa ila wiki iliyo pita nilikuwa Tanga na nilifika beach kwa Bibi.... HakujabadilikaSawa ndugu vipi bado beach kwa bibi pako vilevile au kumebadilika siku hizi
na Mimi niko kilimanjaro kwa sasa ndugu ila namim nitafanya mpango nifike tanga kabla mwezi huu hauja isha,,,Mikanjuni ya Trasfoma ndio hom kabisaVilevile tu aisee, Mimi niko MTWARA kwa sasa ila wiki iliyo pita nilikuwa Tanga na nilifika beach kwa Bibi.... Hakujabadilika
Poah, nimekutumia Ujumbe pm... Ukiingia utanijibuna Mimi niko kilimanjaro kwa sasa ndugu ila namim nitafanya mpango nifike tanga kabla mwezi huu hauja isha,,,Mikanjuni ya Trasfoma ndio hom kabisa