Van classic
Member
- Jul 30, 2019
- 18
- 4
kwaiyo mkuu polis anaeza akawa ni corproal Bado pia akawa RPC hii imekaaje ki nidhamu endapo Kuna Mkubwa wake chini Yeye labda ana nyota tatu afu sio RPCpolice hawana cheo cha rps wala ocd.. nijuavyo ocd ni madaraka ,cheo kinaweza kuwa asp,acp,sacp etc.
sio IGP mkuuCheo kikubwa ni CPU NA GASEOUS
yess BiShoo haswaaAaa
Aisee!Ndata
Mwera
Kuruta
Njagu
TiGo
Nyigu
Afande Kidekeo
Mlinzi
Kachero Hadji
Ispekta Fogu
Mpelelezi
Usalama wa Taifa
Askari Kanzu
Fanya Fujo Uone
Kuna cheo cha mfumo na cheo cha muundo.Wakubwa polen kwa shuhuli za Kujenga Taifa letu......kuna swali linanisumbua Kuhusu vyeo vya jesh letu la polisi kwa mfano unakuta polis labda ni RPS au OCD au tena OCID hii imekaaje kiutofaut na vyeo kama CORPLO, SARGENT, INSPECTOR.....kama sijaeleweka ntaomba kuiweka sawa kulingana na kunijibu kwenu.....nawasilisha
conservative3 samahani mkuu unaweza kunijuza idara mbali mbali za polisi
Pia wenye diploma wanaoingia kwenye polisi na fani ya ngazi iyo itawabidi na wao hadi wakasome wapate degrer ndio wapate nyota moja? Au utaratibu upojd hapo.
Natanguliza shukrani.
Lugha rahisi ni kwamba kuna cheo(rank ya kiutumishi katika kada husika) alafu kuna wadhifa au mdaraka (umeteuliwa kuwa flan and whatever).Kuna cheo cha mfumo na cheo cha muundo.
Ocd rpc ocs ni vyeo vya mfumo na vyeo km sergeant,aip,sp,cp nk ni vyeo vya muundo.
Tuwekee tuoneUfafanuzi,mbona naona siku hizi makamishina wa polisi Wana vaa cheo sawa na ijp je Kuna mabadiliko?
District Administrative Secretary, Regional Administrative SecretaryDAS, RAS?
Regional Police Commander NOT CommissionerNikisikia neno OC-CID nakumbuka Stakishari.
Dah!!
Mrakibu ndiyo kitu ganiKwa anayefahamu naomba msaada wa kujua ngazi ya vyeo vya polisi
Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota
au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k
Zaidi, soma:
Vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania kwa protocol