Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

RPC - Regional Police Commissioner
DCI - Director of Criminal Investigations
OCD - Officer Commanding District
DSO - District Security Officer

Hiyo RPO sijui ulitaka kumaanisha RTO (Regional Transport Officer) ama nini, binafsi hicho RPO sijui.

Ongeazea na OC - CID (Officer Commanding - Criminal Investigation Department)
Nikisikia neno OC-CID nakumbuka Stakishari.
Dah!!
 
Ocd ni nani? Na majukumu yake
Officer Commanding District kwa kiswahili Mkuu wa Polisi wa Wilaya.

Majukumu yake ni kuhakikisha Wilaya aliyopo inakuwa na utulivu na amani. Pia kwa awamu hii ni lazma ahakikishe katika wilaya yake Chadema hawasumbui.
 
suala ni sheria inasemaje?km alikosa na sheria inasema akamatwe lazima akamatwe km alitaka maongezi lisingefanyika adharani au kupelekwa rasmi,vijana wanapangiwa zamu wanafoji vyeti vya daktari,mwenzako akiwa promoted unalaumu,tunakupromote vipi hatukujui,angalau jeshini wangi wanakaa kambini,polisi je?
basi msipowapromote sahiz wanapigia simu baba zao unakuta wale wenye shda ndo wanapata fursa sana mtoto wa maskini utasota tu
 
Tuwekeeni na vya magereza, zimamoto, uhamiaji, na JWTZ navyo tuvijue wakuu
 
Wakubwa polen kwa shuhuli za Kujenga Taifa letu......kuna swali linanisumbua Kuhusu vyeo vya jesh letu la polisi kwa mfano unakuta polis labda ni RPS au OCD au tena OCID hii imekaaje kiutofaut na vyeo kama CORPLO, SARGENT, INSPECTOR.....kama sijaeleweka ntaomba kuiweka sawa kulingana na kunijibu kwenu.....nawasilisha
 
police hawana cheo cha rps wala ocd.. nijuavyo ocd ni madaraka ,cheo kinaweza kuwa asp,acp,sacp etc.
 
Back
Top Bottom