Kwani mie nimekuuliza kuhusu RTO?RTO ana cheo gani?
Nimeuliza OCD wa wapi ni Inspector?
Nimeuliza RPC wa wapi ni Inspector?
Lazima kuna minimum cheo anachopaswa kuwa nacho mtu kabla hajateuliwa kwenye cheo fulani.
Angalia mwenzio ntamaholo hapa amejibu direct to the point, ndio majibu tunayopaswa kutoa na sio kuzungukazunguka.
OCS wengi ni ASP
OCD wanaanzia SP-SSP
RPC huanzia ACP-DCP