Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

10-3.jpg


Oookaay
Pembeni ya ofisa wa magereza ni nani?
 
Yes huyo ndo IGP na top wa police wote so saluti km kazi. Katika hali ya kawaida na hata huko nyuma ilishatokea, sitashangaa kama asst IGP atateuliwa mpya. Huko nyuma some seniors kadhaa waliondolewa alipoteuliwa IGP ambaye hakuwa hata CP ( Late Mahundi, Mahita).

Sawaaa,
1.Deputy IGP...Mbona sioni hapo au nachanganya?
2.Kaniki alikuwa Deputy wa Mangu,na juu ya Sirro,ni sawa IGP mpya kupiguwa salute na Kaniki?..ufafanuzi..
 
Asante kwa kushare. Vyeo vya JWTZ hivi hapa;
 

Attachments

Ukiingia kama Dr mwenye bachelor jeshi LA polisi unaweza kupata cheo gani
 
hapo alikua bado hajamaliziwa kuvalishwa bega la kushoto cheki post namba 27 kwenye uzi huu kuna picha ya bega la kushoto akiwa full manyota


Nashukuru, kwahiyo ubandikaji wa hizo ngao una protocol pia
 
Hapa nami nimepata kujua hivi vyeo, kumbe wengine tunawaita tu inspekta kumbe bado hawajafika huko!
 
Back
Top Bottom