Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Du imekaa poa sana.
7. Panya roadKwa majambazi tuna makundi haya.
1. gaidi
2. Jambazi mkuu
3. Kaka jambazi
4. Mwizi
5. Kibaka
6. Mdokozi
Atabaki makao makuu ya Polisi mpaka atakapopangiwa kazi nyingineSasa mzee mangu ana cheo gani?
Bhado ni polisi?
Hiyo ndio kauli mbiu ya hapa kazi tu.Bana eee bora mkono uende kinywani
Navyofaham hapati kwanza cheo,,anasota kias anarud chuon tena,,uzur wa polis ni kwamba zile mbavu kila ukipanda moja na kwata lazima ulicheze,,unachoweza kupewa kama promotion ni nyota ya pili,husoti sana,unaweza fanya tukio au weled fulan ukatunukiwa.Kwa kijana wa kidato cha sita fresh from school anaanzia cheo gani?
Sio sahihi, ni vichache ama vinafananajwtz kuna vyeo vingi kuliko polisi
Kwa hyo siku unaweza kumfata mkakamate muhalifu wako?Atabaki makao makuu ya Polisi mpaka atakapopangiwa kazi nyingine
Ukiona hakuna neno kamishina ujue sioOnesha yupi gazetted na yupi commissioned mkuu
Assistant IGP ni Cheo cha uteuzi/ utawala sio cha Muundo Ndio sababu hukuti Cheo cha RPC, OCD wala RCO katika Muundo alioweka Jamaa
Yaani kwako Asst IGP as a rank ni sawa na RPC na OCD as a title ?
Si yupo na angalaia anavaa nn !!
Shukrani..Utaratibu ni kwamba Kaniki ni lazima aachie ngazi ...ie astaafu.
Nadhani Kaniki alikuwa Senior kwa SiroSirro alikuwa tayari ana Cheo cha juu zaid cha Muundo cha Kamishna na hiki sasa ni cha uteuzi