Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Ni nafasi za utawala.Ocd
Oc CID
Hivi sio vyeo?
Ni nafasi za utawala.Ocd
Oc CID
Hivi sio vyeo?
huyo Siro kamkaushia yule jamaa mwenye tuhuma ya kufoji vyeti... nae ni walewale tuuMapolice wote wangekuwa kama mh siro aiisee tungekuwa mbali sana na tungefanya kazi kwa waredi
Na nampongeza sana mh. Raisi kwa kumteuwa kamanda siro namkubaoi sana na nazani Yale mauwaji ya kule pwani yataisha tuuu
jwtz kuna vyeo vingi kuliko polisiAisee vyeo vyao vinatisha kuliko vya JWTZ
umeeelewa vibaya mkuu rudia kusomaNimeshangaa kwenye "V', kumbe kadri zinavyozidi kuwa nyingi, cheo nacho kinapungua !!! Mimi nilithani mwenye "V" nyingi ndiye Mkuu. Hebu angalia namba 14 na 12 !!
Thats old. Kuna cheo kipya Assistant IGP
Pia kuna cheo R. I. P hiki ni nyota ngapi?
Bado hawajakiweka katika jeshi lenu pendwaPia kuna cheo R. I. P hiki ni nyota ngapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemkanyaga vizuri sana anafikiri kasoma peke yakeHapati cheo Atakuwa PC au WP
Utaratibu ni kwamba Kaniki ni lazima aachie ngazi ...ie astaafu.Sawaaa,
1.Deputy IGP...Mbona sioni hapo au nachanganya?
2.Kaniki alikuwa Deputy wa Mangu,na juu ya Sirro,ni sawa IGP mpya kupiguwa salute na Kaniki?..ufafanuzi..
Siro hapo kabla alikuw rank gani?? Maana naona ameruka vyeo kibao hadi kufikia IGP
Weka na vyeo vya majambazi, hasa ukiweza vya kundi la Mafia
hapo alikua bado hajamaliziwa kuvalishwa bega la kushoto cheki post namba 27 kwenye uzi huu kuna picha ya bega la kushoto akiwa full manyotaAnachovalishwa Sirro mkono wake wa kulia kinatofautiana na kile cha kushoto ukitazama kwenye PICHA (Tazama hapa)
Hapo na Mimi nataka kujua kweliMkuu Asante sana,,,,swali langu ni elimu gani na muda gani humfanya MTU afikie cheo toka kimoja adi kingine