Faru fausta,
Mkuu, kama unajua na vya usalama wa taifa nijuze.
Mkuu, kama unajua na vya usalama wa taifa nijuze.
Mkuu Asante sana,,,,swali langu ni elimu gani na muda gani humfanya MTU afikie cheo toka kimoja adi kingine
Nenda descending order upo sahihi mwenye v moja ni mdogo kwa v mbili etc soma vizurNimeshangaa kwenye "V', kumbe kadri zinavyozidi kuwa nyingi, cheo nacho kinapungua !!! Mimi nilithani mwenye "V" nyingi ndiye Mkuu. Hebu angalia namba 14 na 12 !!
Yaani huyu aliyekaa mbele kachafua nguo kiasi hicho, khaaaaaa, watu wana makusudi, Aziweka mwenyewe au anawekewa na mke wake !!![]()
Oookaay
Hapati cheo Atakuwa PC au WPKwa kijana wa kidato cha sita fresh from school anaanzia cheo gani?
OCS wengi ni ASPHivi Mkuu wa Kituo anaanzia cheo kipi?
OCD anaanzia cheo kipi?
RPC anaanzia cheo kipi?
Ngoja tumwambie Magumashi Ta design mchoro wakeUmesahau cha DIGP
Baada ya Kupiga mabomu ya machozi mikutano ya chadema na kutishia bunduki raia wasio na bunduki!Mkuu Asante sana,,,,swali langu ni elimu gani na muda gani humfanya MTU afikie cheo toka kimoja adi kingine
Pia kuna cheo R. I. P hiki ni nyota ngapi?Hapati cheo Atakuwa PC au WP
Hujui wewe, yaani cheo cha polisi kitishe kuliko jw!!! We veeep?Aisee vyeo vyao vinatisha kuliko vya JWTZ