Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,030
na sisi tuliokaa na wakurya polisi wote wanaitwa afwandeeeeeeeeeeeKwa sisi tuliokaa na waingereza police wote wanaitwa POLICE OFFICERS na sio kama wanajeshi et kuruta na kuruti sijui
na sisi tuliokaa na wakurya polisi wote wanaitwa afwandeeeeeeeeeeeKwa sisi tuliokaa na waingereza police wote wanaitwa POLICE OFFICERS na sio kama wanajeshi et kuruta na kuruti sijui
huu ni wadhifaa wa uongozi sio rank/cheo......mfano OCD, RPC RTO etcSijaona oics
Poa nimekupata mkuuhuu ni wadhifaa wa uongozi sio rank/cheo......mfano OCD, RPC RTO etc
Nimuhimu kuwakubali tu huna ujanja!Nawachukia polisi
Upendo haulazimishwiNawachukia polisi
asante kaka1. OCS- Officer commanding the station(mkuu wa kituo cha polisi)
2. OCD-Officer commanding the District(mkuu wa polisi wa wilaya)
3. CID-Crimes investigation department(idara ya upelelezi wa makosa ya jinai)
4. DCI-Director of crimes investigation(mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai)
5. DSO-District security officer(Afisa usalama wa taifa wa wilaya)
6. DTO-District Traffic Officer(mkuu wa polisi wa usalama barabarani wa wilaya)
7. RTO-Regional Traffic officer(mkuu wa polisi wa usalama barabarani wa mkoa)
Huna akiliNawachukia polisi
HahahahahNdata
Mwera
Kuruta
Njagu
TiGo
Nyigu
Afande Kidekeo
Mlinzi
Kachero Hadji
Ispekta Fogu
Mpelelezi
Usalama wa Taifa
Askari Kanzu
Fanya Fujo Uone
Hahahaha wamekufanya niniNawachukia polisi
Hhahaahhahahabaha ......!!Afande chapombeDuh! Hii kali.
Mbona sub inspector hakipo hapo?Vipo vya kiutawala na vya kijeshi weye wataka vipi?.......mathalan IGP ni cha kiutawala wakati kijeshi ni kamishna wa polisi (CP)
Kijeshi
Commissioner of Police
Deputy Commissioner of Police
Senior Assistant Commissioner of Police
Assistant Commisisoner of Police
Senior Superintendent of Police
Superintendent of Police
Assistant Superintendent of Police
Inspector
Staff Sergeant
Sergeant
Corporal
Lance Corporal
Police Constable
Mwenye V 3
V-vumilia
V2-vumbi
V3-vizurii
Ukiwa na v3 unaitwaje.