Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

Hawa wazee wenye hizo VV au VVV ni vyeo vya ihsan au vina vgezo kuzingatiwa?

Maana inaonesha hadi kuifikia nyota moko kazi ipo!
 
Ukiwa msomi wa kiwango cha degree na kuendelea unaanza na nyota moja
 
Kwa faida yako sio unamwangalia kova alafu ujui yeye ni mtu wa ngapi kutoka kwenye renk za juu.
View attachment 91476

Hhee kwamtoro vipi tena kuna cheo ndani ya police force ya Tanzania chatambulika kama MRAKIBU MSAIDIZI WA POLISI -CID HUSSEIN MOHAME AMAR???? [TABLE="align: left"]
[TR]
[TD="align: left"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
Hhee
kwamtoro vipi tena kuna cheo ndani ya police
force ya Tanzania chatambulika kama MRAKIBU MSAIDIZI WA POLISI -CID
HUSSEIN MOHAME AMAR???? [TABLE="align: left"]
[TR]
[TD="align: left"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

msichanganye, haya ni madaraka sio cheo.
 
Last edited by a moderator:
Hawa kajamba nani atakuelekeza mwingi. kwa ma afisa inaanzia. Assistant inspector. Inspector. Senior inspector. Assistant superintendent. Superintendet. Senior superintendent of police SSP. Assistant commissioner of police. ACP. senior assistant comissioner of police SACT. Commisioner of police. Inspector general of police IGP.
 
Pc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote
 
Pc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote

Kwa sisi tuliokaa na waingereza police wote wanaitwa POLICE OFFICERS na sio kama wanajeshi et kuruta na kuruti sijui
 
Uko sahihi kabisa,umesahau tu cheo kipya cha Naibu IGP kilichoanza this year.
Pc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote
 
Pc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote

nijuavyo mimi,Igp ni cheo cha kiutawala tu,ila vyeo vya police wa tanzania huishia ngazi ya commisioner of police.
 
Pc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote

umesahau cheo kipya,deputy igp
 
mmeamkaje wadau?
plz! kwa anayejua aina ya vyeo ktk jesh letu la polisi tafadhali anisaidie
 
mmeamkaje wadau?
plz! kwa anayejua aina ya vyeo ktk jesh letu la polisi tafadhali anisaidie

USIWE MVIVU WA KUFIKIRI WEWE NENDA KATIKA WEBSITE YAO WAMEAINISHA KILA KITU AU TEMBELEA MAKAO YAO MAKUU PALE OHIO UTAPATA MSAADA LAKINI TU USIWE MHALIFU WATAKUNG'ANG'ANIA HUTORUDI URAIANI.:A S-alert1:
 
Back
Top Bottom