man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
kwanii vyeo vya polisi upewa watu wazima hakuna usawa?
Mkuu nilisema humu kuwa kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu katika majeshi hasa polisi na magereza wengi wakanitukana na kunikejeli kwenda polisi au magereza kwa msomi ni kujichoresha maana utaishi kulinda na kuagizwa kama mbwa.
Kwelii mkuuu unajuaa jeshi la polisi lipo kimfumo wa kizamani coz polisi ili upate nyota nilazimaa uwe na zaidi ya miakaa mitatu jeshini hata uwe na elimu ganii..tofauti na kulee watu wanapiga usaili wengine wanaenda mondul afsa cadet moja kwa moja wametoka vyuoniii moja kwa moja.na pia Tpdf MTU mwenye f six anapata nyota mojaa.na bachelor nimbili na kadhalikaaa....af majungu mengii😧😶
thanx for ur effortPc - police constable
cpl - coplo
sgt - sagent
ssgt- staff sagent
MPAKA HAPO HAO WANAITWA RANK AND FILE
A/INSP- Asistant inspector *
insp- inspector **
ASP - Asistant superitendent***
SP - superitendent(bib &bwana)
SSP - senior superitendent
ACP- Asistant commisioner
SACP - Senior ACP
DCP - Deputy commisioner
CP- Commissioner
IGP..... Mwisho hapo ndugu labda kama kuna sehem nimesahau ni bahat mbaya but nazijua zote
poaDIGP-DEPUTY INSPECTOR GENERAL OF POLICE
Hivi naibu ni post (nafasi ya kiutawala kama mkuu wa kituo) au cheo (rank kama vile Insp, SSP; nakadhalika )?Uko sahihi kabisa,umesahau tu cheo kipya cha Naibu IGP kilichoanza this year.