nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
CGI Commissioner General of ImmigrationNa nn kilefu cha CGI ...maana kila cku huwa nakutana na hii Gari yenye jina la CGI pale central inakatisha
CGI Commissioner General of ImmigrationNa nn kilefu cha CGI ...maana kila cku huwa nakutana na hii Gari yenye jina la CGI pale central inakatisha
Amekosea kupangilia 14,13 then 12Nimeshangaa kwenye "V', kumbe kadri zinavyozidi kuwa nyingi, cheo nacho kinapungua !!! Mimi nilithani mwenye "V" nyingi ndiye Mkuu. Hebu angalia namba 14 na 12 !!
Utaanza na cheo cha chini kabisa lakini baada ya mwaka utaenda kusomea nyota moja yaani Assistant InspectorUkiingia kama Dr mwenye bachelor jeshi LA polisi unaweza kupata cheo gani
Hawez kuwa polis tena atasubir kaz nyingine maana kwa cheo chake hawez kushushwa chin labda kama ameshushwa cheoSasa mzee mangu ana cheo gani?
Bhado ni polisi?
Hivyo vya chin mpaka uende koz (nyota mbili kwenda chini) ila vya juu ni kulingana na uzoef kazini na. Utenda kazi wakoVyeo hivyo vinapatikana kwa criteria gani na kwa muda gani
huyu Andengenye c ndiye alianza kufanya sherehe akijua kuwa atateuliwa kuwa mkuu wa polisi kipind cha JK? zilipovuja ndo mkulu akabadili gia angani bila kutegemea Mangu huyu hapaHuyo ni Comissioner Thobias Andengenye ni Mkuu wa Jeshi la Zimamoto Tanzania kabla ya hapo alikuwa Mkuu wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi la Polisi Tanzania!
Sijui kama Magu ana hiyo taarifa.Thats old. Kuna cheo kipya Assistant IGP
Huyu wanaweka vila vya igp ila wanavikata nusu kwa nusu au wakati mwingine wanamvisha bega moja tuThats old. Kuna cheo kipya Assistant IGP
Weeee..jwtz hatareee sio huu ushuziAisee vyeo vyao vinatisha kuliko vya JWTZ
Unaweza,ila kwa cheo chake atatoa amri kwa yule wa chin yake.Kwa hyo siku unaweza kumfata mkakamate muhalifu wako?
Thats old. Kuna cheo kipya Assistant IGP
yani wote wawe ma IGP sio?Mapolice wote wangekuwa kama mh siro aiisee tungekuwa mbali sana na tungefanya kazi kwa waredi
Na nampongeza sana mh. Raisi kwa kumteuwa kamanda siro namkubaoi sana na nazani Yale mauwaji ya kule pwani yataisha tuuu