mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,084
Kinakuwa na nyota ya jenezaPia kuna cheo R. I. P hiki ni nyota ngapi?
Kinakuwa na nyota ya jenezaPia kuna cheo R. I. P hiki ni nyota ngapi?
Sasa karuka cheo kipi tena maana alikua Kamishina sasa ukitoka Kamishina kama usipokua IGP ndo basi tena vyeo vimeishaSiro hapo kabla alikuw rank gani?? Maana naona ameruka vyeo kibao hadi kufikia IGP
ndio inspector anaweza akawa OCD kwa mfano sehemu ambazo zina uhaba wa viongozi. unakuta hata RTO ni mdogo tu kwa cheo. Kwa mfano nenda mkoa mpya Wa SONGWE utajionea
RTO ana cheo gani?Wilaya gani mwenye cheo cha Inspector ni OCD?au RPC?
Hata form FOUR wengi ni plain PC & WP, na form SIX pia huanza na plain kabla ya kuanza kupata tuvyeo taratibu sana. Ukitaka kula mema ya majeshi, ingia ukiwa kuanzia degree.Plain ndio wengi wao darasa la saba.
Anachovalishwa Sirro mkono wake wa kulia kinatofautiana na kile cha kushoto ukitazama kwenye PICHA (Tazama hapa)
Mamunyange kaondolewa kwa vita au?Vyeo vya polisi ni kama vya kisiasa tu ukionekana unafaa unapewa tu ndio maana hata Mangu ameondolewa kwenye ofisi yake kirahisi tu.
RTO? Kirefu tafadhalindio inspector anaweza akawa OCD kwa mfano sehemu ambazo zina uhaba wa viongozi. unakuta hata RTO ni mdogo tu kwa cheo. Kwa mfano nenda mkoa mpya Wa SONGWE utajionea
Sio kweli PC na uniform havina uhusiano. Hao ni detectives....wasiovaa uniformsPolisi konstebo,plain uniform
Sio kweli PC na uniform havina uhusiano. Hao ni detectives....wasiovaa uniforms
Mara nyingi form six wanaanzia u sgt yaani baada ya mafunzo next sgt kozi unapelekwa...
Sentences yako haisomeki vzr mkuuPlain ndio wengi wao darasa la saba.
Hakika, police si rafiki wa Raia kivileMtoa mada kwa uhakika unazifahamu vilivyo alama za vyeo hivyo.
Wengine huwa tunaziita manyotanyota.
Lakini ukiviangalia kwa makini, vina nembo tofautitofauti na si vyote ni manyotanyota.
Tatizo tulilonalo raia kuzingatia hizi alama za vyeo si rahisi kwa kuwa mara nyingi tunakumbana na polisi ki matatizo.
Hauwezi kwa mfano kukariri mavazi ya watu msibani ukiwa umefiwa.
Utawaona lakini hauwezi kukumbuka mavazi yao, kwa kuwa utakuwa katika majonzi, furaha hauna.