saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali.
Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya kufa? Kwanini hatuambiwi nini kinaendelea na kwanini Jina la Mmiliki wake limefichwa hadi sasa?
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kwamba ni mali ya Kigogo fulani wa Serikali.