Mkuu habari yako, mkuu broiler wa 1800 kwa wakala sahau, sasa hivi ni 2000 mpaka 2300, hiyo 2000 unakaa foleni kwa wakala hata mwezi au miwili inategemeana na wakala wako, hiyo 2300 ndiyo fasta nenda kwa wakala aliye karibu nawe unayemuamini weka oda yako, ila jihadhari na matapeli mkuu wako wanaotumia mwanya huu kutupiga au kutupatia vifaranga vibovu.Kama Kuna mtu anajua nawezaje kupata vifaranga kwa 1800 au 2000 anisaidie nisuru mtaji wangu maana gharama za maisha hazisubiri hata kidogo
Asante Sana
Mkuu ameuliza wa broiler, broiler wapi utapata yai lake?Kwa nini usizalishe mwenyewe? Nunua mayai nenda katotoleshe
Ili faida ionekane labda utengeneze chakula mwenyeweUfugaji wa broiler siku hizi hauna faida kama zamani, vifaranga wamepanda sana Bei na vyakula vyake ndo usiseme
Me nafkilia kutengeneza chakula mwenyewe kwa ajili ya kuku wangu mwenyewe tu.Ufugaji wa broiler siku hizi hauna faida kama zamani, vifaranga wamepanda sana Bei na vyakula vyake ndo usiseme
Nachoona Ni kuacha tu kufuga broiler ,niongezee ngombe wa maziwa maana , vifaranga ununue 2300 chakula wastani mfuko Ni 64,500 haya uje uuze 5500/5800Mkuu habari yako, mkuu broiler wa 1800 kwa wakala sahau, sasa hivi ni 2000 mpaka 2300, hiyo 2000 unakaa foleni kwa wakala hata mwezi au miwili inategemeana na wakala wako, hiyo 2300 ndiyo fasta nenda kwa wakala aliye karibu nawe unayemuamini weka oda yako, ila jihadhari na matapeli mkuu wako wanaotumia mwanya huu kutupiga au kutupatia vifaranga vibovu.
Kila la kheri mkuu.
Mimi pia nina plan hii, ila ninakwama kwenye pellets mach, broiler wanakula pellets sasa ili kutengeneza chakula chao ni lazima uwe na hiyo machine.Me nafkilia kutengeneza chakula mwenyewe kwa ajili ya kuku wangu mwenyewe tu.
Chakula chako mwenyewe sio lazima utengeneze pellets,kuna mama jirani yangu anatengeneza mwenyewe,na kuku wanakuwa fresh kabisa.Mimi pia nina plan hii, ila ninakwama kwenye pellets mach, broiler wanakula pellets sasa ili kutengeneza chakula chao ni lazima uwe na hiyo machine.
Kichwani mwangu na pia jinsi nilivyo aminishwa ni kuwa broiler ni lazima chakula chao kiwe katika mfumo ws pellets, kumbe hata mash inafaa?Chakula chako mwenyewe sio lazima utengeneze pellets,kuna mama jirani yangu anatengeneza mwenyewe,na kuku wanakuwa fresh kabisa.
Hizo mashine sinzimeingia hapa tz hata miaka 6 haifiki mwanzo tulikuwa tunawalisha Cha Cha kawaida unakutana na dagaa humo humo na paraza ya mahindi haswa kwenye finishier kwa hiyo ukipita fomula unatengeneza tu mwenyewe ila Raha Yake uwe na kuku wengi au muungane.Mimi pia nina plan hii, ila ninakwama kwenye pellets mach, broiler wanakula pellets sasa ili kutengeneza chakula chao ni lazima uwe na hiyo machine.
Mkuu,unajua pellets zimekuja juzi tu hapa....Kichwani mwangu na pia jinsi nilivyo aminishwa ni kuwa broiler ni lazima chakula chao kiwe katika mfumo ws pellets, kumbe hata mash inafaa?
Ni kweli kaka....nitajaribu.Mkuu,unajua pellets zimekuja juzi tu hapa....
Zamani tulikuwa tunatumia mash,vizuri kabisaa
Mkuu Zeus je unayo best formula ya broiler utusaidieMkuu,unajua pellets zimekuja juzi tu hapa....
Zamani tulikuwa tunatumia mash,vizuri kabisaa