Wakuu wa JF,
Kwanza natangulia shukrani kwa uongozi wa JF kwa kutupatia na sisi wajasiliamali fursa ya kujadiliana na kupeana uzoefu wetu humu.
Baada ya shukrani nawataarifu kuwa tunauza vifaranga wa kienyeji PURE kabisa, ni wale kuku wa asili ambao babu zetu waliwafuga. Wote mnajua kuku wa kienyeji wana faida nyingi ambazo wengi mnazijua kwa kutaja chache tu ni kutoshambuliwa na magonjwa, hawapotezi kizazi (genetic); wanafugika hata kimaskini na nyama yao ni tamu mno (super taste)
Mwana JF sasa usihangaike tena na kuku wa kigeni, fuga kuku wa kwako, kienzi cha kwako kikunufaishe - faida ni kubwa mno. Tutakuwa pamoja kukufikisha kwenye malengo yako. (Ushauri tunatoa bure) Mtambo wetu wa kutotoresha mayani yaani Hatchery ni wa kisasa kabisa.
Kifaranga ni Tshs 1,500 tu kwa kimoja. Tunapatikana Kibada kigamboni. Pia tunapokea order ya vifaranga kwa wale wateja wa mikoani kuanzia 500 na kuendelea.
Tunatoa ushauri kwa wafugaji wapya hasa kwenye Chakula na Chanjo.
Karibuni sana.