Vifaranga Vya Kuchi...

Hujui thamani yake ndio maana unaongea pumba..ndio maana kuna mbuzi na kuku. Kwanini unanunua Bata Bukini laki 3 paka laki 4 kwa pear? Na Bata maji ni 40,000 kwa pear?
 
Hujui thamani yake ndio maana unaongea pumba..ndio maana kuna mbuzi na kuku. Kwanini unanunua Bata Bukini laki 3 paka laki 4 kwa pear? Na Bata maji ni 40,000 kwa pear?
hivi uko serious ama? na akikuwa mkubwa unamuuza bei gani?

kuku ni kuku tu. hiyo 70,000 bado ni bei ya mbuzi. labda kama ufuge kwa ajili ya dawa.
 
70 wana miezi mi4 wakiwa wakubwa si itakua gharama ya mahali kabisa?by the way hao kuku ni dili mjini na ni wazito na wana bei kidogo compare na kuku wengine bt kwa hiyo bei no thankyu ntakutafutia wateja
 
Ni kweli kuchi wana bei..mara ya mwisho nilikua igunga huko vijijini..nilinunua kifaranga kwa elf 10..ni kuku wazuri na wana minofu mingi..
 
Hao kuku ni wa mashindano ya kupigana, kuna wengine wana wauza 250,000/=
 
Hawa ni kuku wa mashindano ya kupigana.wanafikaga mpaka laki 7 kwa kuku mmoja.kisimingi siyo kwa ajili ya kula.
haya mashindano labda ulaya huko!

hapa bongo sijawah sikia wala hudhuria shindano la hadhi la kuku hao wa kuchi
 
Elfu 70 kifaranga si bora ninunue kuchi mkubwa kwa elfu 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…