Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sio ndege ni kukuHawa ndege gani?
NB:kuku nao ni ndege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ndege ni kukuHawa ndege gani?
hivi uko serious ama? na akikuwa mkubwa unamuuza bei gani?Hujui thamani yake ndio maana unaongea pumba..ndio maana kuna mbuzi na kuku. Kwanini unanunua Bata Bukini laki 3 paka laki 4 kwa pear? Na Bata maji ni 40,000 kwa pear?
Wanakitu gani special hao kuku hadi bei kuwa kubwa namna hiyo?
Sawa ila sio kwa bei hiyoNi aina ya kuku ambao ukiweza kuwakuza na kuwatunza vizuri wanadeal mjini si wa kisasa ila ni wakienyeji.
Mkuu umenunua wapi kwa hiyo bei?juzi nimenunua kuchi jike kwa 9000!hiyo bei yako kiboko
Hata mimi nimeshangaa nikahisi kuna sifuri imezidi mwishoSawa ila sio kwa bei hiyo
Heheheeeeee[/cokor]Hata mimi nimeshangaa nikahisi kuna sifuri imezidi mwisho
haya mashindano labda ulaya huko!Hawa ni kuku wa mashindano ya kupigana.wanafikaga mpaka laki 7 kwa kuku mmoja.kisimingi siyo kwa ajili ya kula.