Wanakitu gani special hao kuku hadi bei kuwa kubwa namna hiyo?
Sio kwakunimalizia faida yote ntakua napaka rangi upepo mkuuTumeumbwa kujaji bei kabla ujachunguza thamani ya kitu ndio maana nikasema wote walio sema bei zao wanao wapata hao kuku naomba waniuzie Pls.
Anauza vifaranga vya Tembo. Si umeskia anasema Arusha...!Kuku 70000 sijawahi skia hiyo bei,au labda kama unauza vifaranga vya mbuni
Hamkawii kusema vinaongeza nguvu za kiume ili vinununliweHabari za Jumapili...
Vifaranga Vya Kuchi Vipo sokoni....Vina miezi 4 paka sasa
View attachment 594691
Na wew utasema una Kuchi!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Elfu 70??? Kuku??Ni aina ya kuku ambao ukiweza kuwakuza na kuwatunza vizuri wanadeal mjini si wa kisasa ila ni wakienyeji.
Huwa nakasirika sana kuona jogoo wangu akipigwa na jogoo wa jirani, dawa naenda nunua Kuchi, huyu temba nachinja. Kuchi kwenye kupigana hawataki mchezo!Hio sio kuchi broda kuchi ni hii
Huyo kuku akifa si unaweza weka msiba na majirani wakaja kukupa pole.
Are you serious 70,000/- kwa kifaranga?? ni kwa ajili ya kula au ni dawa ya magonjwa flani sugu?Nipo Arusha...70,000@